To place an advert or if you have any relevant article you would want us to publish kindly contact us on this no. +255768191019/ +255716583496 or drop us an email @ mail.harusinzuri@gmail.com. Thanks alot for visiting this blog.

Thursday, July 12, 2012

REDD'S MISS SINZA KUPATIKANA KESHO KWENYE UKUMBI WA MAWELA SOCIAL HALL

6:10:00 AM

Mwalimu wa warembo wa shindano la kumsaka Miss Sinza 2012, Mwajabu Juma, (akitoa maelekezo) kwa warembo hao wakati wa mazoezi yao ya mwisho kujiandaa na shindano hilo litakalo fanyika kesho katika ukumbi wa mawela social hall,karibu na Vatican Hotel, Sinza. Shindano hilo litasindikizwa  na burudani kabambi na show ya kufa mtu kutoka kwa bendi ya African Stars, watakao kuwa wakitambulisha nyimbo zao mpya.




Warembo hao wakipozi kwa picha ya pamoja baada ya kumaliza mazoezi.

Written by

We are Creative Blogger Theme Wavers which provides user friendly, effective and easy to use themes. Each support has free and providing HD support screen casting.

0 maoni:

Post a Comment

 

© 2013 Harusinzuri. All rights resevered. Designed by Templateism

Back To Top