To place an advert or if you have any relevant article you would want us to publish kindly contact us on this no. +255768191019/ +255716583496 or drop us an email @ mail.harusinzuri@gmail.com. Thanks alot for visiting this blog.

Saturday, June 30, 2012

Harusi Simple

7:49:00 AM

Si lazima harusi yako ikugharimu mahela kibao, kwani fanaka ya sherehe huchangiwa sana na vile ulivio panga na kile ulicho nacho, wazungu walisema cut your coat according to your size.
Kuna vile unaweza kufanya simple beach wedding na ukaalika watu ambao si wengi. Kile unachohitaji ni site mzuri maeneo ya beach ambapo pia hakuna msongamano wa watu wengi, kisha ukapanga viti vyako na decoration ya sehemu yenyewe kama mfano uliotolewa kwenye picha iliyo hapa chini.

 Kwa hivyio kama harusi yako imefika na unataka kufunga harusi ambayo haitakugharimu sana ila itakuletea kumbukumbu nzuri basi fikiria sana kufanya aina hii ya simple wedding.

Written by

We are Creative Blogger Theme Wavers which provides user friendly, effective and easy to use themes. Each support has free and providing HD support screen casting.

0 maoni:

Post a Comment

 

© 2013 Harusinzuri. All rights resevered. Designed by Templateism

Back To Top