To place an advert or if you have any relevant article you would want us to publish kindly contact us on this no. +255768191019/ +255716583496 or drop us an email @ mail.harusinzuri@gmail.com. Thanks alot for visiting this blog.

Saturday, June 30, 2012

Wedding from Uganda

For Cool wedding videos send us an email via woch_350@yahoo.com or isintegrity@gmail.com and satisfaction is guaranteed.

Harusi Simple

Si lazima harusi yako ikugharimu mahela kibao, kwani fanaka ya sherehe huchangiwa sana na vile ulivio panga na kile ulicho nacho, wazungu walisema cut your coat according to your size.
Kuna vile unaweza kufanya simple beach wedding na ukaalika watu ambao si wengi. Kile unachohitaji ni site mzuri maeneo ya beach ambapo pia hakuna msongamano wa watu wengi, kisha ukapanga viti vyako na decoration ya sehemu yenyewe kama mfano uliotolewa kwenye picha iliyo hapa chini.

 Kwa hivyio kama harusi yako imefika na unataka kufunga harusi ambayo haitakugharimu sana ila itakuletea kumbukumbu nzuri basi fikiria sana kufanya aina hii ya simple wedding.

Wednesday, June 27, 2012

Thursday, June 7, 2012

Miss World Kenya 2012

Miss Shamim Ali was crowed the new Miss World Kenya 2012. She received the crown and the shash from the hands of the outgoing Miss Wold Kenya Susan Anyango and the reigning Miss World, Ivias Sarcos.
" I couldn't believe it. I didn't think I would make it this far. Every eviction I was always nervous and scared that I was going to be out of the competition. But here I am. I'm thankful to God." Shamim recounted.
She also won the award for the best Beauty with a purpose project.
As part of winning Shamim got a cheque of Kshs. 1 Million and an Insurance cover ranging into millions. A car which will be fuelled all through will also be provided by Ashley's.
She will compete in Miss World 2012, in Ordos, Inner Mongolia, China on August 18.

Miss Tourism Tanzania Organisation Sasa Taasisi ya Kimataifa

Miss Tourism Tanzania Organisation,waandaaji wenye haki miliki ya shinadano la Miss Utalii Tanzania,sasa waimingia katika kundi la taasisi za kimataifa za kutangaza na kupromoti Utalii na utamaduni.Hii nibaada ya kuwa taasisi ya kwanza nchini kumiliki mashindano ya Dunia ya Utalii ya urembo,riadha,mpira wa ufukweni,Safari za Kimataifa za Utalii na maonyesho ya kimataifa ya Utalii ya Mavazi. Mashindano hayo ni Miss Utalii Vyuo Vikuu Dunia ( Miss Tourism University World),Miss Urithi wa Dunia ( Miss Heritage World),Mbio za Kimataifa za Nyika za Hifadhi za Taifa (National Parks International Marathon),Safari kuu ya Kitalii Tanzania ( Tanzania Great Safari & Tour), Maonyesho ya kimataifa ya Mavazi ya Kitalii (Tanzania Great Safari Fashion Show) na Miss Tourism Beach Soccer.




Wedding Decor from Kenya

Looking for wedding gowns, bridal dresses and accessories in Kenya?
Look no further. Get the latest trends in wedding dresses, bridesmaid dresses, groom suits and much more.
Find your wedding cakes, wedding flowers wedding photographers, wedding decorations and wedding transport all in one stop online.
For more information visit http://africanroseweddings.com/

Wednesday, June 6, 2012

Did Lulu Elizabeth Kill Steve Kanumba ?

I was reading an article posted on www.omgghana.com on April 7, 2012,. What really striked me was the way they put their headline:

Tanzanian Actor Steven Kanumba Was Killed By Elizabeth Lulu Micheals

From my opinion this is totally unfair and an infringment of ones rights, yes I do belive this was an assasination of charachter. How can you call someone a muderer before conducting any investigations. Some people are going much too far in terms of using their media freedom.
Why should anyone try to make her look infamouse and add more coals to the wounds she that she is nursing? Let us try to look for other methods of driving traffic to our sites and blogs rather than publishing dubious stuff that give a negative impression of others who really do not deserve it.
Kindly send your comments.

Wema Avishwa Pete na Mwinyi


Wema Sepetu katika kurekodi movie yake mpya ya Superstar itakayozinduliwa mwezi wa sita mwaka huu, ameamua kutumia sehemu za maisha yake na kurudia kuzirekodi ili kuweza kuitumia katika story ndani movie yake hiyo.
Movie hiyo iliyoanza kurekodiwa machi mwaka huu itagusia maisha anayoishi Wema Sepetu na kuwaonyesha watu mazuri na mabaya ya kuwepo kwenye industry kwa jinsi yeye anavyoyaona kila siku ya maisha yake. Wema ambaye alirekodi scene ya kuvishwa pete na Mwinyi Goha ndani ya new Maisha Club aliamua kurudia kama ile ya Diamond akimvisha yeye pete na Mwinyi kutumia maneno yale yale ya Diamond ili mradi kunogesha movie yake mpya.
Wema amekanusha kwa watu kwamba Mwinyi ni mchumba wake na kuweka wazi ni kazi ya kisanaa zaidi iliyopelekea kwa wao kuvishana pete hiyo usiku wa jana.

Weather in Dar es Salaam

Weather in Nairobi

Weather in Kampala

Follow us on Facebook

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

Latest News

 

© 2013 Harusinzuri. All rights resevered. Designed by Templateism

Back To Top